NGO report

Ripoti Ya Kimataifa Ya Amnesty International Hukumu Za Kifo Na Watu Walionyongwa 2022

By Amnesty International, on 16 May 2023Utafiti wa Amnesty International kuhusu matumizi ya adhabu ya kifo mwaka wa 2022 ulionyesha kwambakulikuwa na ongezeko kubwa la idadi ya watu wanaojulikana kuwa walinyongwa duniani, likiwemo ongezekokubwa la watu walionyongwa kutokana na makosa yanayohusiana na dawa za kulevya

  • Document type NGO reportSearch