NGO report

Swahili – Ripoti ya kimataifa ya amnesty international: hukumu za kifo na watu walioadhibiwa kifo 2023

on 29 May 2024

Trend Towards AbolitionUfuatiliaji wa Amnesty International wa matumizi ya adhabu ya kifo duniani ulibaini watu
1,153 wanaofahamika kuwa walinyongwa mwaka 2023, ambalo ni ongezeko la asilimia
31 kutoka 883 mwaka 2022. Hata hivyo nchi zinazowanyonga watu zilipungua kwa
kiwango kikubwa kutoka 20 mwaka 2022 hadi 16 mwaka 2023

  • Document type NGO report
  • Themes list Trend Towards AbolitionSearch